Afisa Mdhamini wizara ya elimu na mafunzo ya amali
Pemba, Salim Kitwana Sururu akifungua mafunzo ya siku mbili, kwa wanafunzi wa
skuli za sekondari za mkoa wa kaskazini Pemba, juu ya haki za binadamu
yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, na
kufanyika afisini kwao Chakechake
Wanafunzi wa skuli mbali mbali za mkoa wa kaskazini
Pemba, wakisikiliza mada kadhaa zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye mafunzo ya
haki binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi
la Pemba, na kufanyika afisini kwao, mjini Chakechake
Mwafunzi kutoka skuli mmoja ya sekondari ya mkoa wa
kaskazini Pemba, akijibu suali la ‘nini maana ya haki za binadamu’ mbele ya
mtoa mada Fatma Khamis Hemed, wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi
la Pemba, mafunzo hayo yameandaliwa na ZLSC na kufanyika afisini kwao mjini
Chakehake.
Afisa Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed,
akiwasilisha mada ya sheria ya mtoto no 6/2011 kwa wanafunzi wa skuli za
sekondari za mkoa wa kaskazini Pemba, kwenye mafunzo ya haki za binadamu,
yalioandaliwa na kufanyika ZLSC Chakechake.
Afisa Mipango
wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Siti Habib Mohamed,
akiwasilisha mada ya sheria ya mtoto no 6/2011 kwa wanafunzi wa skuli za
sekondari za mkoa wa kaskazini Pemba, kwenye mafunzo ya haki za binadamu,
yalioandaliwa na kufanyika ZLSC Chakechake.
Mwanafunzi kutoka moja ya skuli za sekondari za mkoa wa
kaskazini Pemba, akiomba apewe ufafanuzi juu ya sheria ya elimu, kwenye mafunzo
ya haki za binadamu yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC
tawi la Pemba, na kufanyika afisini kwao mjini Chakechake Pemba.
Mtoa mada ya sheria ya elimu ya Zanzibar
no 6/1982 kutoka wizara ya elimu Pemba, Said Azizi akiwasilisha sheria hiyo kwa
wanafunzi wa skuli za sekondari za mkoa wa kaskazini Pemba, kwenye mafunzo ya
haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC
tawi la Pemba,
(Picha na Bizoman )
No comments:
Post a Comment