Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa Baraza
la Wawakilishi Zanzibar Himid Choko akizungumza kabla ya kuaza kwa
Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Raya Issa Mselem
juu ya kuaza kwa Mkutano wa Pili wa Baraza la Wawakilishi unaotarajiwa
kuaza kesho na kuwasilishwa mishwada na Maswali na Majibu.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe Raya Issa Mselem akiwa na Watendaji wa Idara za Baraza la
Wawakilishi wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kutowa maelezo
ya kukamilika kwa za na kukamilika kwa matayarisho ya mkutano huo.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe Raya Issa Mselem akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo
mbalimbali kuhusiana na kukamilika kwa matayarisho ya Mkutano wa Pili wa
Baraza la Wawakilishi unaotarajiwa kuaza kesho asubuhi katika ukumbi wa
Baraza Chukwani Zanzibar.
Waandishi wa habari wakiwa makini
kumsikiliza Katibu wa Baraza wakati akizungumza na waandishi wa habari
wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko Zanzibar. mkutano huo umefanyika
katika Afisi za ukumbi mdogo wa jengo la baraza la wawakilishi chukwani
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment