bizoman tayi
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
Chukwani Zanzibar kwa ajili ya kusoma Hutuba ya Bajeti ya Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar ya Mwaka wa Fedha 2016/2017.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed akionesha Mkoba Wenye Bajeti ya Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi
kwa ajili ya kusoma Bajeti ya Serikali ya Mwaka wa Fedha 2016/2017. kwa
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe Zuberi Ali Maulid akiingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la
Wawakilishi akiongozwa na Askari wa Baraza.kwa ajili ya kuaza kwa
Mkutano wa Bajeti.
Spika akingia katika ukumbi wa Mkutano
jioni leo kwa ajili ya kuwasilishwa Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar. na Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk
Khalid Salum Mohammed akiongozwa na Askari wa Baraza kuingia katika
Ukumbi wa Mkutano kuwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe. Zuberi Ali Maulid akiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakati
ikiwasilishwa Bajeti ya Serikali na Waziri wa Fedha na Mipango wa
Zanzibar Dk Khalid Salum Mohammed. kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar.
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe. Raya Issa Mselem na msaidizi wake wakifuatilia hutuba ya Bajeti
ikiwasilishwa na Waziri wa Fedha na Mopango Zanzibar Dk Khalid Salum
Mohammed.jioni leo.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe
Dk Khalid Salum Mohammed akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar kwa mwaka wa Fedha 2016/2017 kwa Wajumbe wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment