Monday, May 16, 2016

NAIBU WAZIRI INJINIA EDWIN NGONYANI AZINDUA SERA YA TEHAMA MJINI DODOMA

TE1Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani (wa pili kulia) akizindua Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma. Wengine ni Mwakilishi wa Balozi wa Finland nchini Oscar Kassy(kulia) , Katibu Mkuu wa Wizara hiyo aliyeshughulikia mawasiliano Profesa Faustin Kamuzora( wa pili kushoto) na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Rehema Madenge(kushoto)
TE2Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani akiwahutubia wadau wa TEHAMA wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma. 

TE3Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wakifuatilia hotuba ya  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma.
TE4Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wakifuatilia hotuba ya  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma.Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na wadau wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wakifuatilia hotuba ya  Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Injinia Edwin Ngonyani wakati wa uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya mwaka 2016 leo mjini Dodoma.

No comments: