Baadhi ya Wanachama wa Saccos ya Shirikani ya Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba, wakisikiliza mafunzo ya umuhimu wa uwekaji wa akiba na kujenga mtazamo mpya wa mabadiliko ya Vyama vya Ushirika, kutoka kwa maafisa wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba.
Msaidizi Mrajis wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba, Maalim Abdi Hamza Maalim, akionesha Sheria na kanuni za kuundwa kwa Vyama vya Ushirika Zanzibar.
Baadhi ya Wanachama wa Saccos ya Shirikani ya Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba, wakisikiliza mafunzo ya umuhimu wa uwekaji wa akiba na kujenga mtazamo mpya wa mabadiliko ya Vyama vya Ushirika, kutoka kwa maafisa wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba.
Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya vyama vya akiba na mikopo SACCOS Pemba (Pesaca ) Bahati Salim Mwadini, akifunguwa mafunzo ya mabadiliko ya mtazamo kutoka Idara ya Vyama vya Ushirika huko Tibirinzi Pemba.
Ofisa kutoka Idara ya maendeleo ya Ushirika Pemba, Yussuf Seif Yussuf, akitowa mafunzo juu ya mabadiliko ya mtazamo wa vyma vya Ushirika kwa wanachama wa PESACA Tibirinzi Pemba.
Wanaushirika wa PESACA, wakipokea mafunzo ya kuweka na kukopa kutoka Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba.
Ofisa kutoka idara ya Mikopo wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba, Bibi Zuwena Abdalla, akitowa mada juu ya uhamasishaji wa uwekaji wa akiba kwa wanachama wa Pesaca Pemba.
No comments:
Post a Comment