Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika ukumbi
wa mkutano wa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM Zanzibar kumchagua
Mnadhimu wa Baraza wa CCM.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM
wakiwa wamesimama wakati akiingia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi
Seif Ali Iddi, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mkutano huo wa kumchagua Mnadhimu
wa CCM katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akifungua mkutano wa
kumchagua Mnadhimu wa CCM katika Baraza la Wawakilishi Zanzibar na
kuwachagua Wajumbe Watano wa NEC kupitia Wawakilishi wa CCM, mkutano huo
umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM
wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi wakati
akiufungua mkutano huo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.
Wazee wa CCM Zanzibar wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akifungua mkutano huo.
Wazee wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu
ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano
huo wa uchaguzi wa Mnadhimu wa Baraza.
Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Zanzibar Mzee
Khatib Ramadhani akizungumza wakati wa mkutano huo wa kumchagua
Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi wa CCM.
Wazee wa CCM wakimsikiliza Katibu wa
Wazee wa CCM Zanzibar akisoma risala wakati wa Mkutano huo uliofanyika
Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
No comments:
Post a Comment