Monday, May 16, 2016

Mahafali ya 28 ya Chuo cha Al Haramayn Dar

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Al Haramain, wakitumbuiza wakati wa Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, jijini Dar es Salaam leo, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi alikuwa mgeni rasmi katika mahafali hayo.
Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Al Haramain, wakicheza kidufu wakati wakiingia kwenye viwanja vya shule kwa ajili ya hafla ya mahafali yao ya 28 ya Kidato cha Sita na 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain,  jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wahitimu wa Ualimu wa Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, wakiwa katika Mahafali yao ya 29 chuoni hapo leo jijini Dar es Salaam leo, ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi alikuwa mgeni rasmi. 
Baadhi ya wanafunzi wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Al Haramain, wakiwa kwenye viwanja vya shule kwa ajili ya mahafali yao ya 28 shuleni hapo, jijini Dar es Salaam leo. 
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati mwenye suti), akiongozwa na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Al haramain, Nuh Jabir (mbele kushoto) na Mkuu wa Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Idriss Urassa (wa pili kulia), wakati akiingia kwenye viwanja vya shule kwa ajili ya mahafali hayo leo. Nyuma kushoto ni Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum.

Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati mwenye suti), akiwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum (kushoto) na Mzee wa shule hiyo, Nassor Said, wakielekea kwenye viwanja vya mahafali. 
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati), akiwa na Mkuu wa Shule hiyo, Nuh Jabir (kushoto) na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum kwenye meza kuu wakati wa mahafali hayo leo.  
Baadhi ya wazazi na jamaa wa wanafunzi waliokuwa wakihitimu wakiwa katika mahafali hayo, viwanjani hapo. 
Mhitimu wa Kidato cha Sita, Abdilahi Salim akisoma Kur'an Suratu Arrhaman, wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo. 
Mhitimu wa Kidato cha Sita, Suleiman Chanzi akitoa tafsiri ya Suratu Arrhaman, wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo.  
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Kiislamu ya Al Haramain, Nuh Jabir, akitoa utambulisho kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (katikati), wakati wa mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa Kidato cha Sita wakifurahia jambo wakati wa mahafali hayo. 
Mhitimu wa Ualimu, Samia Said akisoma risala ya wahitimu wa ualimu, wakati wa mahafali hayo. 
Baadhi ya wahitimu wa ualimu wakiwa katika mahafali yao ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain jijini Dar es Salaam leo. 
Mhitimu wa Kidato cha Sita, Said Abdallah, akisoma risala ya wahitimu hao. 
Wahitimu wa Ualimu wakisoma utenzi wakati wa mahafali yao hayo leo. 
Mkuu wa Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Idriss Urassa, akitoa maelezo mafupi kuhusu kituo hicho kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto), wakati wa mahafali hayo. 
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuh Jabir, akitoa maelezo mafupi kuhusu shule hiyo kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kushoto kwake), wakati wa mahafali hayo.  
Mtangazaji na MC wa mahafali hayo,  Mbwana Mussa Mbwana (kulia), akiteta jambo na wahitimu wa kidato cha sita.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum akitoa salamu zake kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, raymond Mushi kuzungumza katika mahafali hayo.   
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Nuh Jabir (kulia), akiwa pamoja na Naibu Katibu wa Dini wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Sheikh Mohamed Khamis (katikati) na Mzee wa Shule, Nassor Said (kushoto), wakati wa mahafali hayo.   
Watangazaji wa Kituo cha Radio ya Kiislamu ya Sauti ya Qur'an, Jamil Pool (kushoto) na Muhamad Makkata wakiteta jambo wakati wakirusha hewani mahafali hayo.
Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza na wahitimu wakati wa mahafali hayo. 
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi. 
Baadhi ya wazazi, walezi wa wahitimu na wageni mbalimbali wakiwa katika mahafali hayo. 
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha sita na wa ualimu, wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.  
Mkuu wa Taaluma wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Rashid Kassim akitoa maelezo kabla ya kuanza kazi ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu hao. 
Mhitimu wa kidato cha sita Said A. Said akikabidhiwa cheti cha kufanya vizuri katika somo la Geography na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.
Mhitimu wa kidato cha sita Ombeni Mungule akikabidhiwa cheti cha kufanya vizuri katika somo la Biology na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi. 
Mhitimu wa kidato cha sita Sabrina Hamad, akikabidhiwa vyeti vya kufanya vizuri katika masomo ya Chemistry na Physics na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.  
Mhitimu wa kidato cha sita Suleiman Chanzi akikabidhiwa cheti cha kufanya vizuri katika somo la English na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.  
Mhitimu wa Ualimu wa Shule ya Awali, wa Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mwazan Omar, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu. 
Mhitimu wa kidato cha sita Fatuma Salum, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa kidato cha sita Habiba Hamad, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa kidato cha sita Zuhura Katala, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa kidato cha sita Abdillahi Salum, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.    
Mhitimu wa kidato cha sita Hamis Tulebi, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa kidato cha sita, Hassan Jumanne, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.    
Mhitimu wa kidato cha sita Hizri Mwinyi, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa kidato cha sita Abdulrazak Bahi, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu kidato cha sita na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Salim Mfinanga, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Stashahada na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Samiha Salim, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Stashahada na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Zaituni Makereketi, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Stashahada na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Chumu Hamad, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Grade IIIA na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Aisha Ally, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Shule za Awali na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Emmanuel Mwanayonga, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Shule za Awali na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga. 
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Saddam Msangi, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Grade IIIA na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Shaidu Magoka, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Grade IIIA na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.  
Mhitimu wa Ualimu katika Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Subira Mussa, akitunukiwa cheti cha kuhitimu masomo ya Shule za Awali na Kaimu mgeni rasmi Sheikh Hassan Chizenga.

No comments: