Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan akiwa kaitka Mazungumzo na na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha_Rose Migiro alipokwenda Ofisini kweke leo Ikulu jijini Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha _Rose
Migiro kabla ya Mazungumzo yao Ofisini kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam
Tarehe 19/05/2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa
katika Picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Dkt Asha_Rose Migiro leo Ikulu Dar es Salaam Tarehe 19/05/2016
No comments:
Post a Comment