Friday, May 20, 2016

Wakati wa Mbio za Mwenge Wilaya ya Mjini Unguja Viwanja vya Skuli ya Kidongochekundu .

bizoman tayi

Kiongozi wa Mbio za Mwenge akipokea maelezo.





Mwakilishi kutoka mfuko wa Bima ya Afya  akiwa katika hali ya kuelezea huduma zao.





Timu ya Upendo wakiwa na hali ya kuonesha vitu vya ujasiriamali na kumpa maelezo kiongozi wa mbio za mwenge.







Kijana Mchapakazi Mohamed Hemed (BIZOMAN TAYI) kutoka katika Taasisi ya Vijana na Maendeleo ya Tanzania Youth Icon (TAYI) Mwembe Madema Zanzibar akienezea na kuonesha picha mbali mbali za matukio ya kituoni pao yanayo endelea kila siku. Maelezo hayo akiyatoa mbele ya kiongozi wa mbio za mwenge.




Vile vile kijana huyo akiendelea na kuwaonesha baadhi ya bidhaa za ujasiriamali unaotendeka kituoni kwao kama vile sabuni, mifuko na n.k



Kiongozi akiendelea kukagua aina za mbu wa malaria








 
PICHA HABARI NA MOHAMED (BIZOMAN TAYI)

No comments: