Idd el Hajj ilivyosherehekewa Tibirinzi Chake Chake Pemba
WATOTO wakisherekea skukuu ya Eid El Hajj, kwa
kupanda mja ya Pemba ya Ndege iliyomo ndani ya kiwanja cha kiwa katika maoja ya
Pemba ya Ndege zilizomo ndani ya kiwanja cha Kufurahishia watoto Tibirinzi
Chake Chake Pemba.(Picha na Mohamed Hemed, PEMBA.)
WATOTO wakionekana kufurahia pembea ya Farasi
waliyokuwa wamepanda, wakati wa kusheherekea skukuu ya Eid El Hajj, huko katika
kiwanja cha Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha
na Mohamed Hemed, PEMBA.)
WATOTO
wakisheherekea skukuu yao ya Eid EL Hajj, kwa kuendesha vigari
vilivyomo ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake
Pemba.(Picha na Abdi Mohamed Hemed, PEMBA.)
WATOTO mbali mbali wakiwa kwenye foleni ya kusubiri
kupanda pembea ya Wanda, ikiwa ni moja ya viburudisho vya watoto vilivyomo
ndani ya kiwanja cha Kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba, katika
skukuu ya Eid El Hajj.(Picha na Mohamed Hemed, PEMBA.)
BAADHI ya ndugu na jamaa wakiwaangalia watoto wao
wakipeperuka na pembea ya vikapu, wakati wa kusherekea skukuu ya Eid El Hajj
katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba.(Picha na Mohamed Hemed, PEMBA.)
WANAKIKUNDI cha maigizo kutoka Wete wakionesha
umahiri wao wa michezo mbali mbali ya kuigiza, ndani ya eneo maalumu huko
katika kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi chake chake Pemba, katika
skukuu ya kwanza ya Eid El Hajj.(Picha
na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAZAZI wakiwa katika foleni ya kuwakatia watoto wao
tiketi za kupandia pembea mbali mbali, katika kiwanja cha kufurahishia wa
watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba jana katika skukuu ya kwanza ya Eid El Hajj.(Picha na Mohamed Hemed, PEMBA.).
WANANCHI mbali mbali wakiwa katika foleni ya kuingia
ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Tibirinzi Chake Chake Pemba, wakati wa
kusheherekea skukuu ya Eid El Hajj.(Pica na Mohamed Hemed:)
bizoman.blogspot.com
No comments:
Post a Comment