Jengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi
Mhe.Juma Ali Khatib akiwa na Kiongozi wa Chama cha AD TADEA Mhe Mchenga
wakiwasili katika viwanja vya Baraza kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa
Baraza la Wawakilishi ulioaza leo kwa hutuba ya Bajeti ya Serikali kwa
mwaka wa fedha 2016/2017.
Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasili katika
viwanja vya Baraza la Wawakilishi kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Baraza
kwa kusomwa Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Mwakilishi wa Jimbo la Chaani Zanzibar Mhe Nadir Abdullatif akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi.
Waheshimiwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwasili katika viwanja vya Baraza kuhudhuria Mkutano wa Tisa wa Baraza.
No comments:
Post a Comment