Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ustawi wa Jamii Zanzibar Bi Asha Abdalla wakiongozana na mlezi wa Wazee
Welezo wakiwasili katika viwanja vya Makaazi ya Wazee Welezo Unguja
kumuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa Mkono wa Eid kwa Wazee hao
kusherehekea Sikukuu hiyo ya Eid El Hajj.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha akizungumza na Wazee wa Welezo wakati alipofika
katika makaazi yao kuwajulia hali na kutoa mono wa Eid El Hajj kwa Wazee
hao kwa Niaba na Mama Mwanamwema Shein.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Welezo
Zanzibar wakimsikiliza Mama Asha wakati alipofika katika makaazi ya
Wazee Welezo kuwatembelea na kutoa Mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee hao.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Welezo
Zanzibar wakimsikiliza Mama Asha wakati alipofika katika makaazi ya
Wazee Welezo kuwatembelea na kutoa Mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee hao
Kwa Niaba ya Wazee wanaoishi Makaazi ya
Wazee Welezo Mzee Shein Kombo akitowa shukrani kwa niaba ya wazee wezake
kwa Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama
Mwanamwema Shein, kwa kuwajali na kuwatembelea mara kwa mara anapopata
nafasi kuja kuwajuliana hali na kujua shida zao,
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akitowa mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee
wa Welezo kwa Niaba ya Mama Mwanamwema Shein,
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akimjulia hali na kumpa mkono wa Eid El
Hajj Mzee Chui anayeishi katika makaazi ya Wazee Welezo Zanzibar
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Balozi Seif, akimjulia hali Bi Riziki anayeishi
katika Nyumba za Makaazi ya Wazee Welezo wakati alipowatembelea na kutoa
mkono wa Eid kwa wazee hao kwa niaba na Mama Mwanamwema Shein.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mama Asha Balozi Seif akizungumza na Wazee wa Makaazi ya Wazee
Sebleni Zanzibar, alipofika kuwatembelea na kutoa mkono wa Eid El Hajj
kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Mama Asha Balozi wakati alipowatembelea na kutoa mkono wa Eid El Hajj.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Mama Asha Balozi wakati alipowatembelea na kutoa mkono wa Eid El Hajj.
Wazee wa Makaazi ya Wazee Sebleni Zanzibar wakimsikiliza Mama Asha Balozi wakati alipowatembelea na kutoa mkono wa Eid El Hajj.
Mzee Omar akisoma Dua wakati wa hafla hiyo
Wazee wakiitikia dua.
Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi akitowa mkono wa Eid El Hajj kwa Wazee wa Nyumba Sebleni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Ustawi wa Jamii
Ndg Asha Abdalla akitowa mkono wa Eid kwa Wazee wa Makaazi ya Wazee
Sebleni Zanzibar kwa niaba ya Mama Mwanamwema Shein.
Imetayarishwa na: Mohamed Hemed: bizoman.blogspot.com
No comments:
Post a Comment