ZEC yaendesha semina kwa watendaji wa vituo vya ugawaji wa shahada za kupigia kura
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Magharib Ndg Ali Rashid Suluhu akiwasilisha
mada katika mafunzo ya watendaji wa vituo vya Ugawaji wa Shahada za
kupigia Kura, mafunzo ambayo yalifanyika ukumbi wa Skuli ya
Mwanakwerekwe ”C” tarehe 26/09/2015
Washiriki wa semina ya watendaji katika
vituo vya Ugawaji shahada za kupigia Kura wakimsikiliza kwa makini
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Magharib Ndg Ali Rashidi Suluhu wakati akiwasilisha mada katika mafunzo hayo ambayo yalifanyika ukumbin wa skuli ya Mwanakwerekwe ”C” tarehe 26/09/2015. Mafunzo kama hayo yalifanyika kwa wilaya zote za Unguja na Pemba.
No comments:
Post a Comment