Monday, May 16, 2016

Dk Shein amuapisha Katibu Mkuu mpya wa Ofis ya Rais, Tamisemi na Idara maalum za SMZ



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Radhia Rashid Haroub kuwa Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi hati ya kiapo Bi,Radhia Rashid Haroub baada  yakumuapisha  rasmin leo  kuwa Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ leo  katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.
Bi,Radhia Rashid Haroub baada  ya kumuapisha  rasmin leo  kuwa Katibu Mkuu   Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,[Picha na Ikulu.] {15/05/2016.

No comments: