Maalim Seif aliposhiriki Baraza la Eid, Mkokotoni
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akisalimiana na Rasi wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi,
Dk Ali Mohamed Shein wakati akishiriki sala na baraza la Eid El-Hajj
Mkokotoni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa
Pamoja na aliyekuwa mwakilishi wa kute4uliwa Ali Mzee na Waziri wa
Biashara Nassor Ahmed Mazrui wakati akishiriki sala na baraza la Eid
El-Hajj Mkokotoni.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na watoto wanaoendesha kipindi cha watoto kwenye ZBC,
wakati akishiriki sala na baraza la Eid El-Hajj Mkokotoni kulia ni
Makamo wa pili wa Rais Baloze Seif Ali Iddi.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad
akisalimiana na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi, wakati
akishiriki sala na baraza la Eid El-Hajj Mkokotoni.
No comments:
Post a Comment