Naibu Waziri wa Tamisemi, Seleman Jaffo
akijadiliana jambo na Mbunge wa Busokelo, Atupele Mwakibete kwenye
viwanja vya Bunge, mjni Dodoma. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA
WA MATUKIO BLOG
Waziri Mkuu akijibu maswali ya wabunge , bungeni mjini Dodoma
wabunge wakijadiliana jambo bungeni
Wageni wakifuatia mwenendo wa Bunge
Mbunge wa Jimbo la Ilemela,Anjelina akijibu swali
Spika wa Bunge akitoa pole kwa familia
za waumini waliouwa msikiti jijini Mwanza na watu wasiojulikana
waliokuwa wamevalia kininja
Waziri Mkuu, Majaliwa kaizungumza na mmoja wa wabunge
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo akiwasilisha hotuba ya makadirio ya Bajeti ya wizara hiyo.
Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ali
Keisy akichangia majadiliano ya makadirio ya Bajeti ya Wizara ya
Nishati na Madini, bungeni Dodoma , ambapo aliutwatuhumu wapinzania
wanaomsema vibaya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.
Mbunge wa Ulanga, Goodluck Ulanga
(kulia), akizungumza na Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo
kwenye viwanja vya Bunge Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa na wanafunzi waliotembelea Bunge
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akichangia hoja wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini
Mbunge wa Mvomero, Sadick Murad akichangia hoja bungeni