Sunday, November 21, 2021

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA UONGOZI WA (UWT)

 



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania UWT ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kusalimiana nae (katikati) Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Taifa Bibi Gaudentia Kabaka na Makamu wake Thwaiba Adington Kisasi.[Picha na Ikulu.] 21/11/2021.
 
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mwenyekiti wa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania Taifa (UWT) Bibi Gaudentia Kabaka ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kusalimiana nae akiwa na ujumbe aliofuatana nao (hawapo pichani).[Picha na Ikulu.] 21/11/2021.
 
 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha na Uongozi wa Jumuiya wa Wanawake Tanzania (UWT) baada ya kusalimiana nao walipofika Ikulu leo.[Picha na Ikulu.] 21/11/2021.


 

No comments: